Tuesday 25 September 2012

Lamp shades

Lamp shade ni namna moja ya haraka ya kuleta muonekano mpya na fresh ndani ya nyumba yako. unaweza usibadili kitu ndani ya nyumba yako zaidi ya kuweka shades mpya kwenye taa zako za mezani au za kusimama sakafuni au hata za kuning'inia darini na nyumba ikaonekana ni mpya na imependeza kuliko awali.

kuna shades za rangi mbali mbali na shape tofauti tofauti kutegemeana na kupenda kwako na kwa matumizi yako. PS. baadae tutaongelea juu ya aina za shades na matumizi yake.




 Be creative and try something new!