Saturday 19 May 2007

Colour washing

Kwa wale wanaopenda rangi za utulivu, mambo ndio kama hivyo, brown inakwenda na grey na light cream, inatoka bomba! though mi sio shabiki wa rangi hii lakini naikubali,hasa ukiipanga sitting room yako vizuri na kuiweka katika hali ya usafi na smart wakati wote, ubaya wa hii rangi usipoweka sitting room yako smart inachuja upesi sana, waweza ichukia!!!
Tips! always changanya na rangi yenye mvuto machoni kama vile white au cream, usitumie rangi za giza pekeyake, chumba kitakuwa na giza, pia usiweke vitu vingi sana kwenye sitting room yako kama vile makabati ya vyombo (lol) hivi kuna watu bado wanaweka sebuleni???.

No comments: