Saturday 19 May 2007

1970´s

Zile sitting room za kina bibi zimerudi kwenye fashion. Miaka ya 70 katika historia ya design inasemekana ndio ilikuwa moto, design mbali mbali zilianzia miaka hiyo, na utaalamu mwingi juu ya mambo ya interior design ulianzia huko. Ila mnaionaje hiyo sitting room? simple and attractive. I wouldn't mind having a siiting room like this for chillling out with friends on friday evenings

No comments: