Saturday 19 May 2007

Nature

Nature ni muhimu ndani ya nyumba! jaribu kuwa na mimea kiasi ndani ya nyumba, inapendezesha pia. Kama mimea natural inakushinda ku maintain, basi jaribu hata artificial ila chagua yale yanayoendana na ukweli uknow what I mean?? sio ua linachanua ua jeusi au rangi ambayo si halisi kwa maua kuchanua, pia mauna ya kuchanua yawe kiasi tyu ndani ya nyumba, yakizidi huwa ni kero ati.

No comments: