Thursday 17 May 2007

Dari






Angalia jinsi rangi mbali mbali zinavyovutia katika dari, hii inasaidia kuufanya ubongo wako kupumzika kila uingiapo katika nyumba/chumba hicho. Bila shaka kila mmoja wetu anapenda kupumzika ipasavyo, sio lazima kwenda hotelini ili akili ipumzike!! lol!! hata nyumba yako inaweza kukupa burudani tosha, kama utaweza kuipangilia ipasavyo.

2 comments:

Sheria Ngowi. said...

unachoice nzuri sana..nimependa sana blog yako nakushauru ujaribu kuweka picha kubwa kubwa kidogo ila watu waone vizuri zaidi...gud job..i lk it..

decorator said...

Thanks Sheria. point taken. karibu tena.