Thursday 17 May 2007

Dari


Leo tuanze na dari. Dari yako au ceiling ni sehemu ambayo unaiangalia kila siku, hivyo ni lazima iwe na rangi zinazovutia na kupumzisha akili. Kama ni nyumbani basi dari iwe nyeupe chafu (si nyeupe ya kung'aa sana itakuumiza macho), Iwe na rangi ya cream kama itawezekana, hii inasaidia kupumzisha nafsi.

No comments: