Thursday 17 May 2007

Mapambo


Vitabu na magazeti mengi yanakupa namna mbali mbali za kupamba nyumba yako mwishowe unabaki kuchanganyikiwa.
Tips. anza na color, chagua rangi ile inayosuuza moyo wako, au inayoendana na mood au style utakayoichagua.Baada ya hapo ndio sasa uangalie namna gani utaingia kwenye hardest part, iwe ni furniture au chochote unachotaka kubadilisha.
Pichani ni kitu simple tu, ua linalopatikana hata nje ya nyumba yako kwenye bustani, hiyo chupa waweza tumia yoyote tu lakini ya kioo cha kuangaza na isio na maandishi yoyote, (zipo kibao kwenye maduka), note colour ya ukutani. Then nyumba inatoka bab kubwa!!
Najua wengi wetu tumezoea rangi nyeupe tu ndani ya nyumba. It's time to change

No comments: